Hii ni film mpya inayoitwa behind of my dream....iliyoandaliwa na director ramsay, chini ya 3eyez entertainment, itakayowafikia mnamo mwez wa october mwaka huu, mashabiki na wadau wetu tunawaomba support yenu ili kufikia malengo ya 3yez entertainment...........
Thanks........
No comments